Msaada: Kuchukua video Simu tv

Kabelwa

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2015
Posts
684
Reaction score
201
Wadau ninaomba kujua jinsi ya kuchukua videos kutoka simu TV na kuhifadhi kwenye gallery.
 
mkuu na Mimi pia ninashida hiyohiyo my android version 4.2.2

kama sjakosea jelly bean haikubali screen recording mpaka uwe umeroot simu, kitkat kwenda mbele ndio inakubali screen recorder bila root. pia simu hazina nguvu sana fps zinakuwa chache hivyo haiwi smooth.
 
yangu nimeroot sasa nafanyaje kiongozi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ