Nina vitabu kadhaa vya lugha ya kiingereza nimevitunga structure&literature ninaomba mwenye kujua wa utaratibu kuchapisha mpaka kinaingia sokoni,biashara yake unafanyaje ili usiibiwe na vitu kama ivyo...ni vitabu vizuri kibiashara na kumuandaa mtoto.