Eddy Love JF-Expert Member Joined Jul 25, 2011 Posts 13,655 Reaction score 8,590 Dec 7, 2013 #1 naombeni msaada inalugha ya kichna
amu JF-Expert Member Joined Aug 8, 2012 Posts 16,171 Reaction score 31,357 Dec 7, 2013 #2 #team tecno Yoso and co mnaitwa huku Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
rkgx Senior Member Joined Nov 30, 2013 Posts 100 Reaction score 81 Dec 7, 2013 #3 Nenda setting>language n input>android keyboard>chagua lugha uipendayo
amu JF-Expert Member Joined Aug 8, 2012 Posts 16,171 Reaction score 31,357 Dec 8, 2013 #4 Andika kwa kichina jomba rkgx said: Nenda setting>language n input>android keyboard>chagua lugha uipendayo Click to expand...
Andika kwa kichina jomba rkgx said: Nenda setting>language n input>android keyboard>chagua lugha uipendayo Click to expand...
UPENYO Member Joined Nov 18, 2013 Posts 44 Reaction score 25 Dec 8, 2013 #5 Ushauri wa bure. Tafuta mchina yoyote aliye karibu nawe ili mradi awe anajua na kiingereza japo kidogo. Mpatie abadilishe lugha kuwa english. Kwisha kazi yake...
Ushauri wa bure. Tafuta mchina yoyote aliye karibu nawe ili mradi awe anajua na kiingereza japo kidogo. Mpatie abadilishe lugha kuwa english. Kwisha kazi yake...
msafwa93 JF-Expert Member Joined Jul 2, 2011 Posts 4,840 Reaction score 6,148 Dec 8, 2013 #6 au reset settings kweny cm yako,inavowaka itakuletea hyo option