Msaada: Kubadili chuo kwenda Advance

magelei

Member
Joined
Feb 21, 2018
Posts
19
Reaction score
6
Habarini ndugu,

Mdogo wangu alipata division 3 ya 21.

CIV=C GEO=C BIO=C CHEM=C MATH=D HIST =D PHY=F KISW=B ENG=D kwenye machaguo alijaza comb ya CBG tu lkn amechaguliwa chuo coz ya ICT chuo cha CBE ILALA DAR nayeye anapenda kwenda advance afanye nini aweze kubadili kutoka chuo kwenda advance shule za serikali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…