Nawasalimu wanasheria wote wa jukwaa hili.
Mimi nataka kuandika wosia wangu. Nauliza, je, wosia unaandikwa kwa msaada wa wakili/mwanasheria au unajiandikia
mwenyewe ukiwa chumbani mwako? Na je, ipo format/template maalum ya kisheria ya kuandika wosia au mtu unajiandikia tu kulingana na mawazo yako kichwani?
Naomba sana kusaidiwa kwa jambo hili. Mimi naishi Moshi.
Asanteni