Msaada: Ku-unlock Vodafone V785

Mkuu unavyosema box unamaanisha nin maana sielew plz naomba unieleweshe
Mkuu manfive,BOX ni kifaa maalumu kwa ajili ya kurekebishia simu ambacho hutumika pamoja na PC/MAC.
Kifaa hiki kinafanya network unlocking, flashing, rooting, kubadilisha IMEI, pamoja na kutatua matatizo mengine mengi ya software katika simu.
Hiyo hapo chini ni Box la Volcano.
 
Sas mchakato wa kutumia box unakuaje au hyo huduma ya box naipataje
Hapo inabidi ama ulinunue hilo box au kwa urahisi zaidi ni kutafuta mafundi simu ambao wanazo boxes zinazoweza kufanya kazi hiyo,wakufanyie na uwalipe..
 
hakuna cha Pm au nini kazi hiyo inafanyika Hata kama CMU yako cjaishika we kikubwa hapo ni serial no au IMEI nitafute 0763753492
 
Mkuu real G,wamejaa tele kila pembe ya Jiji na nchi nzima,hasa pale Mtaa wa Agrey na wengine tupo humu humu JF.
ok, hiyo mambo niliona mdau mmoja alikua ana uzi lakini yeye alisema unampa details za simu yako (kwa baadhi ya simu), anakutumia code ila sikuona simu yangu kwenye list yake
vp na hii inafaa ku unlock kwa code nikituma IMEI yake?
 
ok, hiyo mambo niliona mdau mmoja alikua ana uzi lakini yeye alisema unampa details za simu yako, anakutumia code ila sikuona simu yangu kwenye list yake
vp na hii inafaa ku unlock kwa code nikituma IMEI yake?
Yaap,inawezekana pia kwa IMEI tu mkuu.
 
guys kunlock sim ikiwa inanetwork lock namaanisha kama inatumia mtandao mmoja kwa mfano tecno y3+ zili zinazotangazwa na tigo au ilikuwa inatumika nje sim yoyote kama huawei,tecno,vodafone inabd utumia kifaa maalum kinaitwa sigma box ndo inaweza kufanya hyo kaz ya kuunlock network lock kwa msaada zaid wa bure kabisa na usaidizi napatikana kariakoo soft barabara ya uhuru karibia na screen kubwa kabisa pale kariakoo au kwa mawasiliano piga simu 0653868632
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…