Msaada ku-unlock modem ya zantel

Msaada ku-unlock modem ya zantel

godfrey_avya

Senior Member
Joined
Feb 25, 2014
Posts
131
Reaction score
24
jaman kwa anayejua maufundi ya kuanlock modem ya zantel ec122 msaada jaman
 
hizo EC122 ni cdma modem,,, its a line built in modem... huwezi ku unlock bhana... tafuta altenative modem...
 
na ikiwa ni yakuweka line inakuwaje coz zantel chip inasupport gsm and cdma techn.
 
na ikiwa ni yakuweka line inakuwaje coz zantel chip inasupport gsm and cdma techn.


EC122 ya zantel ina port for gsm line ila ukiwa unatumia huwa huweki line means built line... generally modem za zantel ni cdma.... lets wait for wadau #Baldin
 
Back
Top Bottom