Acha Dhambi Senior Member Joined Oct 19, 2010 Posts 147 Reaction score 46 May 5, 2012 #1 nina memory ya 2GB imefungwa na password na mi sina hizo password nisaidieni namna ya ku unlock kwani nimeserve vitu muhimu sana natumia nokia 6300.niko tayari hata kwa kulipia
nina memory ya 2GB imefungwa na password na mi sina hizo password nisaidieni namna ya ku unlock kwani nimeserve vitu muhimu sana natumia nokia 6300.niko tayari hata kwa kulipia