Mkuu hii dccrap kwangu imekataa kabisa ku-unlock my tigo huawei E153. Mimi nafikiri bado hakuna namna ya ku-unlock permanently hizi modem ambazo ni customermized firmware. Kama umefanikiwa tafadhali tupe step by step how to unlock it. Natanguliza shukrani.