Wakuu nashukuru sana kwa msaada na ushauri wenu. Pia FUJISTU nashukuru kwa namba ya fundi nitawasiliana naye lakini kuna jamaa kaniambia kuwa ukienda Vodacom ofisini wanakufungulia. Nijaribu kwenda huko jumatatu nione kama watanisaidia. Wakishindwa ndio nimpigie huyo fundi. Asante sana wadau
Nimenunua simu aina ya Huawei model no. U8655-1 toka Tigo. Haikubali laini nyingine zaidi ya Tigo. Internet ya tigo iko low na hawana 3G ambayo simu ina support. Nawezaje ku kupata unlock code ya Tigo? IMEI ya simu ni 861895014154711. Tafadhali wadau!
Kufungua yako Huawei ya kupaa y200, matumizi ya kufungua code. Unaweza kupata kutoka kwa mchuuzi yeyote online kama SuperUnlockCodes.com kwa kufungua hiyo.