msaada ku set 3g network kwenye Micromax Canvas A1

Deeboyfrexh

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2015
Posts
3,422
Reaction score
5,597
Nina simu nmeletewa tokea india,inaitwa micromax canvas but inatumia trademark "Android One" ni dual 3g/4g sim.Nimekuwa nikijaribu kuifanyia APN cofiguration za tigo manually nikafanikiwa kuzi save ila cha ajabu inaonyesha H tu bila vile vimishale vya uplink/ downlink.Kwa hivyo nashindwa kuingia online browsers zinaniambia mambo ya proxy cjui kitu kitu gani uko hatimae nimekwamia hapo.Mwenye msaada anipe clues tafadhali!
 
Hio apn ulitengeneza mpya au uli edit existing apn? Maana proxy zinakaa pamoja na APN
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…