Habari za jioni wanajamii,
Naombeni msaada wenu wa ki-IT.
Nina computer hapa ilizingua windows,nikaweka windows nyingine ya widows 7 prof. nimeinstall hadi mwisho.Ishu imeanza nilipotaka kuinstall office 2007,imegoma,inasema language ya hiyo software hai-match na sysytem nim-conduct system admin.
Tatizo linaweza kuwa nini na what will be the way forward?
shukrani nyingi kwenu