Watalaam, nimeshindwa ku connect chromecast kwenye tv aina ya TCL flat ambayo sio smart tv.
Nafanya setup kama kawaida inaenda vizuri ila inapofika sehemu ya mwisho napata maneno haya
ENTET WIFI NETEORK
If you dont see your wifi network you can entet it manually
Halafu kuna nafasi ya kujaza pembeni pameandikwa network name
Chini yake kuna neno security
Halafu kuna kuchagua NONE,WEP, WPA,WPA2
Nimejaribu maujanja napata meseji,
Could not connect au the chromrcast is in a diffetent network.
Naomba mnaojua mnikwamue hapo. Shukrani zangu natanguliza