Msaada: Kozi zitolewazo na Open University of Tanzania

Pilau masala

Member
Mar 8, 2016
33
28
Habarini wakuu,

Napenda kuuliza kwa yeyote anayefahamu kuhusiana na kozi zitolewazo na OPEN UNIVERSITY OF TANZANIA ngazi ya Diploma ni kozi zipi hizo na jinsi ya kujiunga na kozi hizo.
 
Anayejua hata ofisi zao zili kwa Dar es salaam, atusaidie. Na mimi ni muhitaji wa hili!
 
Back
Top Bottom