Habari wataalamu....
Kuna course ipo katika moja ya chuo kilichopo bagamoyo inaitwa ''EDUCATION LEADERSHIP MANAGEMENT AND ADMINISTRATION''. Hii course kama nitaichukua, inahusu nini na je inaweza kuwa na ajira kweli?