Werema Chacha
Member
- Jan 7, 2016
- 60
- 12
Ndugu zangu kozi za afya cku hizi zimekuwa mgogoro maana una weza kuwa hizo d.za kutosha ila ukikoswa hesabu na English unatemwa maana ushindan ni mwingi
Hakuna kozi yoyote ngazi ya cheti utapata kama umepata F phys otherwise njoo ufanye community health ya mwaka mmoja. Km upo good nicheck pmWakuu naomba ushauri wenu
Je naweza kusoma kozi ya afya mbali na nursing kwa matokeo haya
Div 4 ya 26
Bios d
Chem d
Phys f
Math f
Kisw c
Geog d
Hist d
Engl d
Civ c
Koz kama.vile medical lab, lab tech,medical certificate na nyinginezo
Kijana mim ninaye kwambai mwaka jana niliomba nikatemwa sabab competition ili kuwa kubwa sana.wakati mwingne wanaangalia vigezo hivyokwa mujibu wa guide book ya nacte huwa wanaangalia D3 za phy chem bios, kama unachukua kozi za clinical medicine. english na b/maths ni ufaulu wa ziada hauna nguvu kwa hiyo kozi hapo niliyoitaja. kwa hiyo mtu akiomba clinical medicine.anaasilimia kubwa ya kupata, kama atakuwa anaufaulu wa D tatu na kuendelea.
kozi kama medical lab hii ndo huwa wanaangalia mpaka ufaulu wa somo la hesabu.unapaswa uwe na D ya hesabu.
me ndo nilivyoisoma na kuielewa guide book ya nacte 2015-2016
Kijana mim ninaye kwambai mwaka jana niliomba nikatemwa sabab competition ili kuwa kubwa sana.wakati mwingne wanaangalia vigezo hivyo