Nicholaus Adam kitambo New Member Joined Jan 9, 2021 Posts 4 Reaction score 1 May 18, 2023 #1 Ninaomba msaada, hapa kwenye koo panauma kama nimekula kitu kimegoma kutoka, leo siku ya 3. Nimehenda hospitali wamesena hakuna kitu, nimepewa dawa zinaitwa ZECUF. Pamoja na kutumia bado ninaumia tu.
Ninaomba msaada, hapa kwenye koo panauma kama nimekula kitu kimegoma kutoka, leo siku ya 3. Nimehenda hospitali wamesena hakuna kitu, nimepewa dawa zinaitwa ZECUF. Pamoja na kutumia bado ninaumia tu.
Herbalist Dr MziziMkavu Platinum Member Joined Feb 3, 2009 Posts 43,113 Reaction score 34,953 May 19, 2023 #2 Nicholaus Adam kitambo said: Ninaomba msaada, hapa kwenye koo panauma kama nimekula kitu kimegoma kutoka, leo siku ya 3. Nimehenda hospitali wamesena hakuna kitu, nimepewa dawa zinaitwa ZECUF. Pamoja na kutumia bado ninaumia tu. Click to expand... kulamba kijiko kimoja cha asali, kunywa chai iliyochanganywa na limau na asali pamoja na kunywa maji ya moto yaliyowekwa chumvi. kula tonge la ugali pia itakusaidia .
Nicholaus Adam kitambo said: Ninaomba msaada, hapa kwenye koo panauma kama nimekula kitu kimegoma kutoka, leo siku ya 3. Nimehenda hospitali wamesena hakuna kitu, nimepewa dawa zinaitwa ZECUF. Pamoja na kutumia bado ninaumia tu. Click to expand... kulamba kijiko kimoja cha asali, kunywa chai iliyochanganywa na limau na asali pamoja na kunywa maji ya moto yaliyowekwa chumvi. kula tonge la ugali pia itakusaidia .
Nicholaus Adam kitambo New Member Joined Jan 9, 2021 Posts 4 Reaction score 1 May 19, 2023 Thread starter #3 Saw ngoja nifanye hivyo asante Sent from my CPH2059 using JamiiForums mobile app