Mimi naumwa kiuno sana nikisema mama Zaid ya dk 10 na pia knikitembe mwendo kidogo tu wakati wa kupumzika nahisi maumivu makali kama nimewekewa mzigo au kina usaha kwa ndaniPole sana kwa changamoto inayokukumba lakini kwa msaada zaidi tunaomba kujua
1.Unafanya shughuli za kukaa muda mrefu au la?
2.Ni kiuno tu kinauma au kuna sehemu yoyote ya joint unasikia maumivu
3.Tofauti na dawa za maumivu ni dawa za aina gani ushatumia(kama una majina au picha zake tafadhali)
4.Maumivu yanakuwa makali zaidi wakati gani ukilala,ukitembea au ukikaa??