newmimi New Member Joined Jun 16, 2015 Posts 3 Reaction score 1 Jun 17, 2015 #1 kioo cha tv yangu kimepasuka kama picha inavyoonyesha hapo .je nitapata wapi kioo cha tv hii, na itanigharimu sh ngapi. Attachments 17062015736.jpg 217.3 KB · Views: 170
kioo cha tv yangu kimepasuka kama picha inavyoonyesha hapo .je nitapata wapi kioo cha tv hii, na itanigharimu sh ngapi.
Konda wa bodaboda JF-Expert Member Joined Jul 18, 2014 Posts 7,981 Reaction score 4,172 Jun 18, 2015 #2 newmimi said: kioo cha tv yangu kimepasuka kama picha inavyoonyesha hapo .je nitapata wapi kioo cha tv hii, na itanigharimu sh ngapi. Click to expand... Mkuu gharama ya kioo tu inakaribia bei halisi ya tv yenyewe, sina hakika ila nimeshasikia hilo.
newmimi said: kioo cha tv yangu kimepasuka kama picha inavyoonyesha hapo .je nitapata wapi kioo cha tv hii, na itanigharimu sh ngapi. Click to expand... Mkuu gharama ya kioo tu inakaribia bei halisi ya tv yenyewe, sina hakika ila nimeshasikia hilo.
newmimi New Member Joined Jun 16, 2015 Posts 3 Reaction score 1 Jun 19, 2015 Thread starter #3 Konda wa bodaboda said: Mkuu gharama ya kioo tu inakaribia bei halisi ya tv yenyewe, sina hakika ila nimeshasikia hilo. Click to expand... sawa mkuu, asante kwa kuchangia
Konda wa bodaboda said: Mkuu gharama ya kioo tu inakaribia bei halisi ya tv yenyewe, sina hakika ila nimeshasikia hilo. Click to expand... sawa mkuu, asante kwa kuchangia