Nina flash ya 16gb kingston. Ninapo-save au ku-copy folders inapokea vizuri na unafungua mafaili yaliyomo kwenye folder husika. Ukii-remove na kuipeleka kwenye pc nyingine inabaki na folders ila zinakuwa empty. Nini tatizo na nifanyeje? Msaada please.