Msaada King'amuzi cha Star times.!

idawa

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2012
Posts
25,308
Reaction score
38,526
Kinawaka vizuri tu tatizo hakionyeshi chanel yoyote ile, yaani hakuna mawasiliano Kati ya screen na na King'amuzi.
Nimecheki AV ziko vizuri tu.
 
Tupa kule Uchukue AZAM-TV, Ndio suluhisho. Wakati wa Analojia ukoswe koswe kupigwa Shoti kisa unahangaika na Antena, hadi wakati huu wa Digital nao vivyo hivyo. Inamaana hakutakuwa na difference.

Amkaaaa, ang'amue.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…