Angalia kwanza kama signal zipo sawa, maana unaweza kukuta dish limeyumba. Chukua remote Bonyeza MENU--SEARCH--OK, kwenye screen angalia intensity na quality ni ngapi inatakiwa iwe 70/60, kama ipo chini ya hapo tafuta fundi dish. Kama ipo 70/60 bonyeza MENU--SEARCH--AUTOSEARCH--OK subiri utaona channel zina-searck ikifika 100% zitarudi zote