G GM98 Member Joined Dec 9, 2022 Posts 22 Reaction score 15 Mar 3, 2024 #1 habari wakuu hawa wadudu wanakula sana mizizi ya nyanya zangu mpaka zinakauka, je nitumie nn kuwadhibiti!?
habari wakuu hawa wadudu wanakula sana mizizi ya nyanya zangu mpaka zinakauka, je nitumie nn kuwadhibiti!?
K Kimbori JF-Expert Member Joined Feb 21, 2012 Posts 6,292 Reaction score 4,785 Mar 5, 2024 #2 Wadau toeni mwongozo kama akitumia Spidex inaweza okoa jahazi