Kaputula La Marx
JF-Expert Member
- Mar 28, 2015
- 562
- 500
Simu ni Huawei y625 anayefahamu anisaidieUngeweka na aina/model/features ya simu kabisa,kuwarahisia wajuzi wa hayo mambo kukusaidia kwa urahisi
DUH...?hyo simu imeingiwa na virus kwa hyo sasa hao virus wanafanya program sizizo hitajika zijitumiashe hasa hasa unapoingia internet kwa hyo xaxa hyo huawei inahtaj kuiugrade au kwa msaada zaid waweza kuwasiliana na mm kwa namba 0653868632
Nani kakwambia simu ikipata moto inavirus!! Acha kudanganya watu.hyo simu imeingiwa na virus kwa hyo sasa hao virus wanafanya program sizizo hitajika zijitumiashe hasa hasa unapoingia internet kwa hyo xaxa hyo huawei inahtaj kuiugrade au kwa msaada zaid waweza kuwasiliana na mm kwa namba 0653868632
Mkuu hebu nisaidie tatizo langu sasNani kakwambia simu ikipata moto inavirus!! Acha kudanganya watu.
Asanteee sanaHio inatokana na kuwa unapokyw internet kuna program/apps ambazo nazo zinakonect kwa internet inbackground na wewe huwezi jua so kuna kuwa na over.use of.power na hio ndo inaletea sim ku overheat
Check kama umeruhusu apps kudownload
1. update autpmatic
2. Pata apps onayoweza kukusaidia kukontrol apps gani ziwe na luksa kuaccess internet( I.e Noroot firewall)
Nishairoot kitambo san nashukur app hii acha nii downloadKama uko makini I root halafu download app inaitwa Greenify itakusaidia sana
Duuh Sijawahi ona tapeli kama huyu, kuchemka khyo simu imeingiwa na virus kwa hyo sasa hao virus wanafanya program sizizo hitajika zijitumiashe hasa hasa unapoingia internet kwa hyo xaxa hyo huawei inahtaj kuiugrade au kwa msaada zaid waweza kuwasiliana na mm kwa namba 0653868632
Virus wanahisikaje na heating mkuu? Hapa hata tabura rasa naona unataka kuibia mtuhyo simu imeingiwa na virus kwa hyo sasa hao virus wanafanya program sizizo hitajika zijitumiashe hasa hasa unapoingia internet kwa hyo xaxa hyo huawei inahtaj kuiugrade au kwa msaada zaid waweza kuwasiliana na mm kwa namba 0653868632