Mung Chris JF-Expert Member Joined Sep 12, 2017 Posts 3,474 Reaction score 4,007 Jan 24, 2018 #1 Naomba msaada wa Key ya Window 8.1 pro yakwangu inasema ina expire Feb 2018. nina activate haikubali bado inaomba niweke key nyingine
Naomba msaada wa Key ya Window 8.1 pro yakwangu inasema ina expire Feb 2018. nina activate haikubali bado inaomba niweke key nyingine
A artisan Member Joined May 13, 2017 Posts 74 Reaction score 43 Jan 24, 2018 #2 Subir mwenye key nyingine ailete
GTA JF-Expert Member Joined Jul 25, 2013 Posts 878 Reaction score 653 Jan 24, 2018 #3 Hii hapa Attachments Windows 8.1 Activator.zip Windows 8.1 Activator.zip 2.6 MB · Views: 21
Mung Chris JF-Expert Member Joined Sep 12, 2017 Posts 3,474 Reaction score 4,007 Jan 24, 2018 Thread starter #4 GTA said: Hii hapa Click to expand... ni ki download message ikimaliza inasema hivi: "WINDOW 8.1 Activation key is dangereous, so chrome has blocked it."
GTA said: Hii hapa Click to expand... ni ki download message ikimaliza inasema hivi: "WINDOW 8.1 Activation key is dangereous, so chrome has blocked it."
McMahoon JF-Expert Member Joined Dec 22, 2017 Posts 1,360 Reaction score 1,645 Jan 24, 2018 #5 Mung Chris said: ni ki download message ikimaliza inasema hivi: "WINDOW 8.1 Activation key is dangereous, so chrome has blocked it." Click to expand... Km una antivirus kweny pc yako izime. Ukishamaliza kupakua mzigo iwashe
Mung Chris said: ni ki download message ikimaliza inasema hivi: "WINDOW 8.1 Activation key is dangereous, so chrome has blocked it." Click to expand... Km una antivirus kweny pc yako izime. Ukishamaliza kupakua mzigo iwashe
GTA JF-Expert Member Joined Jul 25, 2013 Posts 878 Reaction score 653 Jan 24, 2018 #6 Mung Chris said: ni ki download message ikimaliza inasema hivi: "WINDOW 8.1 Activation key is dangereous, so chrome has blocked it." Click to expand... Hizi crack activator hili zifanye kazi lazima u disable anti virus yoyote na smadav kwa muda then ukishamaliza install kuna enable zote. unakuwa umesha maliza kazi
Mung Chris said: ni ki download message ikimaliza inasema hivi: "WINDOW 8.1 Activation key is dangereous, so chrome has blocked it." Click to expand... Hizi crack activator hili zifanye kazi lazima u disable anti virus yoyote na smadav kwa muda then ukishamaliza install kuna enable zote. unakuwa umesha maliza kazi