haa anataka uhakika kwanza ndugu ,,,sasa si upige continue
kwanza nakupongeza kwa kuwa Muoga then
- je una partition ngapi katika pc yako?
- iyo linux umeweka katika partition ipi?
- mafiles yako yapo partition ipi?
then ushauri kipindi nikisubiri majibu
kama unataka kupiga dual boot kwa LINUXOS yeyote jaribu kutengeneza partion ya peke yake alafu iwe unallocated(not active)
then wakati wa kupiga iyo linux changua partion ambayo iko unallocated then proceed hii njia salama na utakuwa safe:
Sasa baada ya hapo install hiyo mint kawaida itakwenda yenyewe automatic kwenye unallocated diskMkuu kwa bahati mbaya hizo picha hazijafunguka mpaka saiv nimekwama nimeshafuta ile partition na imekuwa unallocated
Mkuu Tayari nimeshajaribu na nakupa mrejesho wa Linux mint ilikamilika lakini chakushangaza baada ya ku-restart haikukamilika kabisa na nikaendelea tena kuiboot lakini bado hola sasa hivi haikaiSasa baada ya hapo install hiyo mint kawaida itakwenda yenyewe automatic kwenye unallocated disk
Mkuu kwa hapa nilipofikia naona nina wasiwasi maana nilishakubali kupoteza data zangu nashangaa nimekamilisha installation lakini mint haikuingia kwenye PC maana nilichagua pale pa something esle au unipe ujuzi pale pana ifanya iwe dual boot au ibaki Linux Mint tu.Lakini mi nilikuwa napendelea ibaki Linux pekeeUsifanye chochote kabla ya kufanya backup hizo data zako, unacheza na moto.
uliulizwa kuhusu GRUB LOADER??/ i hope hukuinstall GRUB LOADER ambayo ina manage iyo LINUX kwenye bootingMkuu kwa hapa nilipofikia naona nina wasiwasi maana nilishakubali kupoteza data zangu nashangaa nimekamilisha installation lakini mint haikuingia kwenye PC maana nilichagua pale pa something esle au unipe ujuzi pale pana ifanya iwe dual boot au ibaki Linux Mint tu.Lakini mi nilikuwa napendelea ibaki Linux pekee