F Fraddle b JF-Expert Member Joined Nov 20, 2011 Posts 222 Reaction score 20 Mar 15, 2012 #1 Jamani naomba msaada kuhusu wachezaji wafuatao nani zaidi, MBWANA SAMATA,na EMANUEL OKWI Tukiacha interest zetu za ushabiki
Jamani naomba msaada kuhusu wachezaji wafuatao nani zaidi, MBWANA SAMATA,na EMANUEL OKWI Tukiacha interest zetu za ushabiki
ossy JF-Expert Member Joined Apr 7, 2011 Posts 872 Reaction score 143 Mar 15, 2012 #2 wanachezea nchi na mchezo gani mkuu?
F Fraddle b JF-Expert Member Joined Nov 20, 2011 Posts 222 Reaction score 20 Mar 16, 2012 Thread starter #3 ossy said: wanachezea nchi na mchezo gani mkuu? Click to expand... hawa ni wachezaji wa mpira wa miguu okwi yupo simba,samata yupo Tp mazembe nchini congo
ossy said: wanachezea nchi na mchezo gani mkuu? Click to expand... hawa ni wachezaji wa mpira wa miguu okwi yupo simba,samata yupo Tp mazembe nchini congo
LEGE JF-Expert Member Joined Oct 14, 2011 Posts 5,122 Reaction score 9,223 Mar 16, 2012 #4 Bila shaka wa tp mazembe atakuwa juu zaid ya huyu wa simba. Tp mazembe si ndiyo imecheza fainal msimu huuu. Bila shaka mti mzuri hutoa pia matunda mazuri na matamu na mazao bora hutoka kwenye udongo wenye rutuba.
Bila shaka wa tp mazembe atakuwa juu zaid ya huyu wa simba. Tp mazembe si ndiyo imecheza fainal msimu huuu. Bila shaka mti mzuri hutoa pia matunda mazuri na matamu na mazao bora hutoka kwenye udongo wenye rutuba.
F Fraddle b JF-Expert Member Joined Nov 20, 2011 Posts 222 Reaction score 20 Mar 16, 2012 Thread starter #5 LEGE said: Bila shaka wa tp mazembe atakuwa juu zaid ya huyu wa simba. Tp mazembe si ndiyo imecheza fainal msimu huuu. Bila shaka mti mzuri hutoa pia matunda mazuri na matamu na mazao bora hutoka kwenye udongo wenye rutuba. Click to expand... lakini hawa wote walikua simba,sema samata alienda tp mazembe mwaka jana mkuu
LEGE said: Bila shaka wa tp mazembe atakuwa juu zaid ya huyu wa simba. Tp mazembe si ndiyo imecheza fainal msimu huuu. Bila shaka mti mzuri hutoa pia matunda mazuri na matamu na mazao bora hutoka kwenye udongo wenye rutuba. Click to expand... lakini hawa wote walikua simba,sema samata alienda tp mazembe mwaka jana mkuu
A Aleyn JF-Expert Member Joined Nov 12, 2011 Posts 23,937 Reaction score 42,349 Mar 16, 2012 #6 Mi ni shabiki wa Yanga,na kwa mtazamo wangu naona Okwi yupo juu
F Fraddle b JF-Expert Member Joined Nov 20, 2011 Posts 222 Reaction score 20 Mar 16, 2012 Thread starter #7 ALEYN said: Mi ni shabiki wa Yanga,na kwa mtazamo wangu naona Okwi yupo juu Click to expand... kama okwi yupo juu mbona TP MAZEMBE WALIMCHUKUA samata wakati walikua pa 1?
ALEYN said: Mi ni shabiki wa Yanga,na kwa mtazamo wangu naona Okwi yupo juu Click to expand... kama okwi yupo juu mbona TP MAZEMBE WALIMCHUKUA samata wakati walikua pa 1?
ndetichia Platinum Member Joined Mar 18, 2011 Posts 27,769 Reaction score 6,589 Mar 16, 2012 #8 LEGE said: Bila shaka wa tp mazembe atakuwa juu zaid ya huyu wa simba. Tp mazembe si ndiyo imecheza fainal msimu huuu. Bila shaka mti mzuri hutoa pia matunda mazuri na matamu na mazao bora hutoka kwenye udongo wenye rutuba. Click to expand... hilo ndio jibu sahihi na safari TP Mazembe lazima wachukue kombe la klabu bora duniani..
LEGE said: Bila shaka wa tp mazembe atakuwa juu zaid ya huyu wa simba. Tp mazembe si ndiyo imecheza fainal msimu huuu. Bila shaka mti mzuri hutoa pia matunda mazuri na matamu na mazao bora hutoka kwenye udongo wenye rutuba. Click to expand... hilo ndio jibu sahihi na safari TP Mazembe lazima wachukue kombe la klabu bora duniani..
ndetichia Platinum Member Joined Mar 18, 2011 Posts 27,769 Reaction score 6,589 Mar 16, 2012 #9 Fraddle b said: kama okwi yupo juu mbona TP MAZEMBE WALIMCHUKUA samata wakati walikua pa 1? Click to expand... kumbe wewe unajua kabisa samata yupo juu ila unataka kujihakikishia miwazo yako dhidi yake..
Fraddle b said: kama okwi yupo juu mbona TP MAZEMBE WALIMCHUKUA samata wakati walikua pa 1? Click to expand... kumbe wewe unajua kabisa samata yupo juu ila unataka kujihakikishia miwazo yako dhidi yake..
F Fraddle b JF-Expert Member Joined Nov 20, 2011 Posts 222 Reaction score 20 Mar 16, 2012 Thread starter #10 ndetichia said: kumbe wewe unajua kabisa samata yupo juu ila unataka kujihakikishia miwazo yako dhidi yake.. Click to expand... hapana kuna mambo yanachanganya watu wanasema okwi ni bonge la mchezaj tz,lakini huyu dogo nae wanasema ni bonge la mchezaji,so huwa sina jibu la 1 kwa 1 kuhusu tofauti zao
ndetichia said: kumbe wewe unajua kabisa samata yupo juu ila unataka kujihakikishia miwazo yako dhidi yake.. Click to expand... hapana kuna mambo yanachanganya watu wanasema okwi ni bonge la mchezaj tz,lakini huyu dogo nae wanasema ni bonge la mchezaji,so huwa sina jibu la 1 kwa 1 kuhusu tofauti zao