Usijizonge mkuu!
Mtu wako hata kama anamzunguko wa siku 40 or 18, chakufanya ni kupiga hesabu kinyumenyume!
Siku ya 15 kabla ya kuanza kublid ndio siku hatari = siku anayoweza kushika mimba!
Kwa kuondoa usumbufu, hiyo siku ya 15 kabla ya kublidi, engeza na siku 3, yani siku 2 kabla ya siku ya 15 na siku 1 baada ya siku ya 15!
Hapo utapata jibu kuwa ni siku 4 za hatari! = siku ya 13, 14, 15 na 16!