AdvocateFi
JF-Expert Member
- Jan 15, 2012
- 11,492
- 5,050
SOB hapaAende Mzumbe.
Uwiiii, nime ikumbuka SOPAM
Nangu Sasabena wavalavala soto.. mitungi na pamba ausabesa mahepe.Pole sana na hongera pia. kwa mwaka Tanzania inazalisha wahitimu wa HR wasio pungua 2000 kwa mwaka. wastani ya wanaopata ajira kwa miaka ile ya neema ni 40% wengine wanaishia kufanya kazi zozote zisizo rasmi. Kwa miaka 4 sasa serikali haija ajiri rasmi hasa HRs. Kwahiyo kwasasa tuna zaidi ya wahitimu kama 6000 na zaidi waliozagaa bila kazi mtaani....
Hayo tu yanatosha .... Mzumbe ni Chuo Kikuu NIT ni chuo cha kati.... Kama anachukua diploma na certificate nenda NIT, kama ni degree nenda Mzumbe. Diploma/certificate ni watendaji, Degree ni wachambuzi.
Nangu Mandokwa
hata sijaelewa kabisa....Nangu Sasabena wavalavala soto.. mitungi na pamba ausabesa mahepe.
Karibu huku SOPAM ukutane na Mr. Nyaruba. hahahahaahahahaha OBSOB hapa
Acha kujinasibu kiasi kwamba unadharau elimu inayotolewa NITHuyu kijana ametaka kunitoa machozi, yani unataka kufananisha the best University in Africa kwenye masuala ya utawala, alaf ukilinganishe na hicho kicollege cha usafirishaji are you serious?
Hivi bongo ni HR gani ambaye sio Alumn Mzumbe basi ujue atakuwa fake kama hatoki mzumbe.
Nenda dogo ukutane na vijana wa Sopam, Sob, Law etc. Nenda kajifunze kwa maendeleo ya watu.
Umemshauri vizuri Sana nahisi Kati ya shauri zote kijana atumie hii hapaPole sana na hongera pia. kwa mwaka Tanzania inazalisha wahitimu wa HR wasio pungua 2000 kwa mwaka. wastani ya wanaopata ajira kwa miaka ile ya neema ni 40% wengine wanaishia kufanya kazi zozote zisizo rasmi. Kwa miaka 4 sasa serikali haija ajiri rasmi hasa HRs. Kwahiyo kwasasa tuna zaidi ya wahitimu kama 6000 na zaidi waliozagaa bila kazi mtaani....
Hayo tu yanatosha .... Mzumbe ni Chuo Kikuu NIT ni chuo cha kati.... Kama anachukua diploma na certificate nenda NIT, kama ni degree nenda Mzumbe. Diploma/certificate ni watendaji, Degree ni wachambuzi.
Nangu Mandokwa
Karibu huku SOPAM ukutane na Mr. Nyaruba. hahahahaahahahaha OB
Hii ndio changamoto ya elimu yetu, watu hawatoi ushauri kwa kufanya analysis bali kwa hisia zao kwa sababu tu wao wamepitia kwenye hivyo vyuo. Mambo yanabadilika kila leo wao wanang'ang'ania ukale.Acha kujinasibu kiasi kwamba unadharau elimu inayotolewa NIT
Yan hii ndo shida ya watanzania kujinasibu kuwa Bora kuliko wengine mbona wapo wengi waliosoma NIT na Ni watu wakubwa na wapo waliosoma MU lkn wapo mtaan
Suala la elimu ya juu Ni matter of choice
Achague anapotaka yeye
Lkn wasomi hawapaswi kupondea upande mmoja
Yaani hii thread angeiona prof ITIKA angemcharaza viboko huyo kijanaAisee kwa kweli umeniumiza moyo sana kulinganisha Mzumbe na NIT kwa HR... Mimi kama alumni wa mzumbe nimeumia sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna kipindi walitaka kumharibu Lukio! hahahahaahahaahahaha.Hahahaa bila kusahau wazee wa figisu figisu peter na kisare.