Electric Drive
Senior Member
- Nov 2, 2016
- 113
- 87
Mkuu majina ya udom yako wapWakuu naomba msaada mtu kachaguliwa hizo program na vyuo tajwa,ipi yenye tija zaidi baada ya kumaliza kwa kipindi hiki?
Hyo ya Udom in Bachelor of Education in special needs na DUCE ni Bachelor of arts with Education.
News Alert: - Waliochaguliwa UDOM, hawa hapaMkuu majina ya udom yako wap
Asante kwa ushauri.Hiyo with special need iko juu kidogo kuliko BAED. Special needs utakuwa mwalim lkn katika kuhudumia watu wenye mahitaji muhim kama viziwi,vipofu nk.hiyo BAED ni mwalimu wa kawaida tu.special need sio wengi mtaani ka BAED
ThanksSpecial need ni zaid ya art with education kwa sasa hawa ata kitaaa wapo kibao
Utakuwa hujaelewa Uzi wangu.Soma comments za wengineChagua faculty kulingana desire/ambition yako ilivyokua inakutuma mwanzoni.
Usiangalie wapi wako wengi wapi wachache. Ipi utapata ajira faster ipi utschelewa. Things change my friend.
Ukifata ndoto zako utapambana kwa kila hali na milango ya fursa itafunguka. Badili fikra ya kila mara eti faculty gani nitatusua mtaani ipi sitatusua. Itakucost mambo yakibadilika.
Fanya hivyo haraka kabla hujakosea, miaka mi3 ni mingi ni bora kabisa kama hujajitafakari ukajua unataka nini uhairishe mwaka wa masomo kwanza. Unaweza ridicule lakini nakuhakikishia this is a fact.
Think twice brother!
Ashachaguliwa UDOM mkuu,nimeuliza ili nimshauri vzuri kwa sababu sina uelewa na course za Education.Mimi niko kada nyingineKama lengo ni kuwa mwalimu kapige hiyo special needs tafuta chuo kizuri kama ushachaguliw a udom na huna option ya kuapply tena sehemu nyingine nenda kapige shule na hakikisha unamantain GPA.
Option ni hzo mbili mkuu,hawezi kuapply tena kwa sababu lazima a confirm kati ya UD na UdomSpecial needs kwa UDOM sikushauri!
Tafuta chuo kinaitwa Sebastian kolowa memorial university (SEKOMU) kama unataka kusoma special education na ukawa competent
Mkuu duce kuna nini mkuu mbona unamtisha muomba ushaurimmmh duce!!! acha kabisa......
anyway kapige special needs
Hivyo vyuo vingine binafsi huwa sina imani navyo. Imani yangu kubwa ipo kwenye Public Universities, sijui kwa nini!Special needs kwa UDOM sikushauri!
Tafuta chuo kinaitwa Sebastian kolowa memorial university (SEKOMU) kama unataka kusoma special education na ukawa competent
Pale wanakaza kinoma!Mkuu duce kuna nini mkuu mbona unamtisha muomba ushauri
Huyu kasoma HGL na alitaka education kwahyo hana option nyingine ni kusoma tuLABDA SPECIAL NEEDS.
LAKIN MKUU, SERIKALI IMESEMA HAIHTAJ WALIMU WA ARTS, WAMEJAA NA WA ZIADA WAPO
HATA WA SCIENCE WENGNE WAKO BENCHI.