AUGUSTINO MWINUKA
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 241
- 283
Ulienda hospital gani? Jitahidi uende hospital kubwa ya rufaaNILIPIMA ECG INAONESHA MATOKEO HAYA(PICHANI)
*Sinus bradycardia
*Left ventcular hyperthropy
*Kutanuka ventricle za kushoto ya moyo,
*Moyo unadunda Mara chache kwa dakika(47)
NAOMBENI MSAADA KAMA KUNA TIBA AU USHAURI CHAKUFANYA.
_daktari kweli aliishia kunipa dawa za taiford maana nilikutwa nayo pia.
Ila katika kupitia card za matibabu nimejua hili aliniacha hewani.(picha inaonesha)View attachment 1006305View attachment 1006306
Sent using Jamii Forums mobile app
Ok nashukuruNenda pale taasisi ya moyo ya jakaya kikwete muhimbili achana na hospitali za "barabarani"
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante nashukuruKama unaweza nenda hospital kafanye kipimo cha Echocardiogram pia kacheki cardiac ,liver enzymes na blood potassium level .naona pia kuna p-mitrale hapo kwenye ECG yako na viashiria vya pericarditis. tafuta cardiologist mkuu atakusaidia tena usipoteze muda
Sent from my iPhone using JamiiForums
Pole nakutakia Afya njema...kwanza Mtangulize Mwenyezzi Mungu ktk kuomba ushauri.. yeye ndo tabibu Mkuu na mweza Wa kuponyesha, baada ya hapo fika haraka JKCI muhimbili ... utapona ndg
Asante Sana nashukuruPole nakutakia Afya njema...kwanza Mtangulize Mwenyezzi Mungu ktk kuomba ushauri.. yeye ndo tabibu Mkuu na mweza Wa kuponyesha, baada ya hapo fika haraka JKCI muhimbili ... utapona ndg
Kama unaweza nenda hospital kafanye kipimo cha Echocardiogram pia kacheki cardiac ,liver enzymes na blood potassium level .naona pia kuna p-mitrale hapo kwenye ECG yako na viashiria vya pericarditis. tafuta cardiologist mkuu atakusaidia tena usipoteze muda
Sent from my iPhone using JamiiForums
Nishafuta ila ukweli mchunguMkuu taarifa za hivi usizianike hivi.Ukiweza futa.