ndugu,aina gan ukizngatia m c mjuz sana wa kompyuta
Kwa budget hio tafuta laptop yenye processor hizi
-i3 4000m
-i3 4100m
-i5 4200m
-i5 4300m
Utaweza atleast kucheza games na kufanya mambo ya shule, ila battery life itakuwa average
OUT OF TOPIC! MPAKA LEO SIJAFANIKIWA KU-UNBRICK NOKIA LUMIA 620 YANGU. Msaada Chief-Mkwawa kama kuna uwezekano wa kuifufua
Inaload haiwezi kudownload au haifunguki kabisa?Bosi mkwawa nami natoka nje ya mada...sumsung trend...aise imekataa ku-load play store,nimefanya njia kadhaa ikiwemo ku clear cache kwenye google play...sasa nataka kuiroot..nianzie wapi na nitumie softwre gani..ama nifanyeje mkuu..
Inaload haiwezi kudownload au haifunguki kabisa?
Haifunguki kabisa mkuuu
Jaribu kui update manual iende latest version, una version ngap wewe? Icheki huko huko ulipoenda kufuta cache
Umejaribu nini na nini?
Windows Phone Recovery Tool na Lumia Software Recover Tool zote nimechemka, nikajaribu kutumia Thor2 kwa Command Prompt pia chenga, nikapeleka kwa wanaoflash nao wakachemka. Nikagoogle nikakuta tatizo lipo Solved kwa wenye Nokia Lumia 520, je,kuna njia yoyote itakayoniwezesha kurudishia Win 8.1 nliyokuwa natumia zamani? Maana sa hivi nikiconnect kwenye laptop inasoma QHSUSB_DLOAD na nikitumia Windows Phone Recovery Tool inadetect ila nikidownload emergency file inafeli na internet ni ya kuaminika.
Hebu cheki hii post
Tutorial - Flash an Lumia device | Windows Phone 8 Development and Hacking | XDA Forums
Kama inafeli kudownload hapo juu ungefanya mpango wa kudownload rom manual.
Pia hawa jamaa wanaoflash mtaani unatakiwa utafute mwenye box, ndio wataweza kukusaidia