Msaada juu ya ugomvi wa baba na mama

Msaada juu ya ugomvi wa baba na mama

naswa

Member
Joined
Mar 13, 2014
Posts
38
Reaction score
1
Habari zenu jf naitaji ushauri wenu
Ugomvi wa baba na mama mtoto apaswi kuingilia ila inapotokea inakubidi tu nipo dar kimasomo ila wazazi wangu wanaishi moshi apa katibuni kumekuwa na migogoro ktk ndoa yao baada yaapo wakaita watu waka suluisha ila sasa baba amekuwa ni mtu wakulala nje kwa siku 3 au kila wiki naakirudi omu anapiga bimkubwa nakumwambia anamuendea kwa wagaga imefikia paka chakula kikipikwa omu mzee ali aya nimaelezo ya bimkubwa baada ya kunipigia cm coz me ndio mshauri wake wa mwisho nakuniambia anaishia nikabidi ni mwambie awe na subira kidogo nitampa jibu baada ya suku mbili sasa zimefika nashindwa kutoa solution nisaidieni.
 
Hata lugha yako hujui kuandika????? ugomvi wa baba na mama haukuhusu kaa kimya.
 
Hakika wazaz wanapokua na mitafaruku watoto ndio huumia zaidi....n mwambie ajaribu kuwaona wazee wao wawaweke chini wewe n mdogo sana kusulihisha ndoa ya wazaz wako
 
Back
Top Bottom