Msaada juu ya thumbnail

Comi

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2011
Posts
3,328
Reaction score
958
Naweza kutoa thumbnail moja kwa moja? maana inachukua nafasi kubwa ndani ya internal memory
 
Hata ukizifuta ni kazi bure unless ufute picha pamoja na video ndo utaweza kuziondoa, kwa sababu hiyo na inayokupa uhalisia wa picha pamoja na video unazoziona pindi unaperuzi kwenye gallery zako!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…