Panel ya watts 100 haiwezi jaza a single battery ya 70Ah..hata hio battery ikiwa na 30% haiwezi fika 100 hata jua liwakaje labda usitumie hadi kesho yake ujaziePanel 100w
Battery N70
Solar inverter 300w
Angalia kampuni yoyote hapo ufanisi hazizidiani sana ila bei ndo inatofautiana
Jua la wapi hilo mbona hapa zinajaaPanel ya watts 100 haiwezi jaza a single battery ya 70Ah..hata hio battery ikiwa na 30% haiwezi fika 100 hata jua liwakaje labda usitumie hadi kesho yake ujazie
Kuna tv nili apply DC picha na sauti haikuwa sawa.Solar panel watt 100 na betr N 80 inatosha
Ila ni vizur ukachkua tv inayosapport ac$dc maana inch 32 kwenye inverter hautafaidi sana maana umeme wa solar una limitation sana..
Labda ni chui alievaa ngozi ya kondooJua la wapi hilo mbona hapa zinajaa
Binafsi kabla ya kukushauri, ningekuomba unipe POWER SPECIFICATIONS ZA TV YAKOHi! JF members
Naombeni msaada kwa wenye uelewa wa solar panel nzuri yenye uwezo wa kuwasha tv inchi 32
Naomba nisaidiwe brand nzuri na ni watt ngapi?
Betri N ngapi na hiyo tv inchi 32 pamoja na gharama zake.
Note Nahitaji vyote yaani panel, betri na tv ''32 pamoja na gharama zake. Natanguliza shukrani