msaada juu ya: software engineering

Ruheza NS

Member
Joined
Mar 21, 2016
Posts
41
Reaction score
22
Habarini wakuu..
Kwa mwenye uelewa juu ya hiyo kitu naomba msaada tafadhari..

- ina-cover nini(coverage yake chuon au curriculum yake)
- soko lake la ajira tz likoje
-vip kuhusu uhusiano wa technology yetu na coz hii(does it have conducive environment in tz?)

Please say something..!!
Shukran
 

download Prospectus ya UDOM wanayo hii course angalia course content zake na ulinganishe na course content ya Computer science uone tofauti....Maana SE ni part ya CS
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…