Msaada juu ya simu hii

kichwa kubwa

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2017
Posts
268
Reaction score
216
Salaam sana.simu yangu ni mpya tu lakini cha ajabu n kwamba huwa inazima bila sababu na wakati mwingine inagoma ku-sense.nilitamani kuirudisha dukan lakin mbaya zaid sjachukua risiti
 
daah umebugi mkuu, samsung ndo hua unaacha risiti, tekino, alkateli, aiteli, lazima udai mpaka warranty
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…