jaman mwenye ujuzi mzuri juu ya scholarship kuanzia ngazi ya diploma mpaka degree anisaidie jinsi ya kupata maana naangaika kwenye mtandao naona sielew tu naitaj ya nchi yoyote ile

Kama Form 4 una angalau D katika Masomo haya: Mathematics, Physics, Chemistry na Biology, kuna Scholarship 3 nazijua za Serikali ya Tanzania zinakuhusu!
Pita website ya wizara ya elimu kwa sasa zipo scholarship za Algeria na Msumbiji, au nenda wizarani jengo la sera na mipango , elimu ya juu chumba namba 28 na 29 utapata maelezo ya kutosha
Kama Form 4 una angalau D katika Masomo haya: Mathematics, Physics, Chemistry na Biology, kuna Scholarship 3 nazijua za Serikali ya Tanzania zinakuhusu!
jaman mwenye ujuzi mzuri juu ya scholarship kuanzia ngazi ya diploma mpaka degree anisaidie jinsi ya kupata maana naangaika kwenye mtandao naona sielew tu naitaj ya nchi yoyote ile
Mkuu kuna scholarship IRAQ wanafunzi 200 wa Afrika wanahitajika yaani unalipiwa full kila kitu hadi nauli ya ndege... Vilevile Somalia Mogadishu pia niliskia zipo na Kule wapi kuleeeeee....... wanakotoka wapiganaji wa ISIS Ahaaah nimekumbuka Syria kunazo pia jaribu jaribu kutafuta tafuta utazipata tu.
Nakutakia kila la heri huko uendako kama utafanikiwa kurudi.😛ray2: