Msaada juu ya samsung galaxy s2

Msaada juu ya samsung galaxy s2

ASIKARI

Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
92
Reaction score
22
nimepata simu ila ina MOVISTAR kitu kinacho ifanya isi accept setting za internet mitandao ya nyumbani
kwa yoyote mwenye utalaam wa kufanya simu hii ikubali internet naomba anisaidie namna ya kufanya
 
1. unaweza kupiga na kupokea simu?
2. unaweza kutuma na kupokea sms?
jibu kwanza hayo maswali mawili ili tuendelee....
 
1. unaweza kupiga na kupokea simu?
2. unaweza kutuma na kupokea sms?
jibu kwanza hayo maswali mawili ili tuendelee....

kupokea simu na kupiga simu inafanya vizuri tu
 
kupokea simu na kupiga simu inafanya vizuri tu

Jaribu kureset kwa factory settings. Ila itadelete informations zote ulizoweka ila itaanza kufanya configurations upya.
 
nimejaribu kufanya ivo lakini bado haikubali, vip kuhusu kuiflashh
 
Back
Top Bottom