Pole Kipenzi !!.
Kama tayari hizo Cysts zimeshavuka zaidi ya sentimita 5, ni wakati Sasa wa kuziondoa Kwa njia ya Upasuaji.
Ni Asilimia chache sana ya Wanawake tena wale ambao wako tayari juu ya umri wa ukomo wa hedhi na ambao cysts zao hazihusiani kabisa na uchavushaji wa yai ndio huishia kupata Kansa.
Kwako wewe, unaweza kupambana na shida kama
-Maumivu makali sana hasa kama cysts zimekua twisted.
-Zikapasuka hasa wakati wa Kula tunda Kimasihara pale jamaa atakapopeleka moto haswaa na moto wa ndanindani kabisa na kupelekaa
-Kuvuja Kwa Damu nyingi na Maambukizi !!.