Troll JF Platinum Member Joined Feb 6, 2015 Posts 9,321 Reaction score 13,765 Feb 6, 2015 #1 Mwenye kujua Ukiwa Umesoma degree ya Accounting and Finance Unatakiwa kupiga Mitihani ngapi kwenye ACCA. Anayejua anijuze na aniwekee list ya masomo !
Mwenye kujua Ukiwa Umesoma degree ya Accounting and Finance Unatakiwa kupiga Mitihani ngapi kwenye ACCA. Anayejua anijuze na aniwekee list ya masomo !
A akc New Member Joined Jul 31, 2015 Posts 4 Reaction score 0 Aug 3, 2015 #2 Ukiwa na degree ya accounting unapata exemption ya paper f1,f2,f3 na f4 then unafanya f5 f6 f7 f8 f9 ndio unaanza professional papers p1 p2 p3 na unachagua za option 2 kati ya p4 p5 p6 and p7 ndiyo hivyo tiu
Ukiwa na degree ya accounting unapata exemption ya paper f1,f2,f3 na f4 then unafanya f5 f6 f7 f8 f9 ndio unaanza professional papers p1 p2 p3 na unachagua za option 2 kati ya p4 p5 p6 and p7 ndiyo hivyo tiu