Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 69,879
- 183,934
Habari wana,
Hivi karibuni kumekuwa na swala linalonitatiza sana, nina manzi wangu ambae anadai anapatwa na maumivu ya kichwa makali mno anahisi kama kichwa kinataka pasuka, anapatawa na kizunguzungu na mda mwingine mpaka anatapika kabisa yani.
Hii hali inamkosesha amani na raha ya kuishi kabisa na mie huwa namuonea imani sana akiwa katika halio hio ambayo huwa inanikosesha raha pia, hasa nikiwa sijui nini chanzo chake, huwa nikimpa pain killer kinapoa kwa muda tu then kinazuka upya baada ya nguvu ya dawa kuisha!
MSAADA TAFADHALI KWA WANAOFAHAMU HUU UGONJWA WA SEVERE HEADACHE(MIGRAINES) NA TIBA ASILIA YA KUONDOSHA HARAKA HILI TATIZO WADAU!