Msaada juu ya matumizi ya condom

Msaada juu ya matumizi ya condom

Joined
Jul 14, 2013
Posts
6
Reaction score
0
Mornie jf

Hivi kushindwa kutumia condom kunadababishwa na nini lakini nikienda kavu na enjoy lakini nikivaaa tuu condom na loose my erection on the sport....au kama kuna aina nzuri ya condom ya kutumia ��
 
Mornie jf

Hivi kushindwa kutumia condom kunadababishwa na nini lakini nkienda kavu na enjoy lakini nkivaaa tuua condom na loose my erection on the sport....au kama kuna aina nzur ya condom ya kutumia 😎

To be honest utamu Upo kwenye nyama kwa nyama lakini tunajua vitumbua vimeingia mchanga. Inabidi kuchukua uamuzi. Faidi na pata utamu peku peku ukijua kuna risk ya dhoruba au.tumia ndom upunguze utamu.lakini uzuie.dhoruba kwa asilmia.kubwa. kupanga ni kuchagua.
 
Ukitaka uenjoy nenda kapime tu na mpenzi wako mjue ukweli kabla

Ndomu zinakera sana, hata mimi sizipendi
 
condom ndio nini jaman dawa au kchocheo ka big G
 
Mkuu fanya mpango uoe tu la sivyo utaenda kuonana na nyerere
 
Ukitaka uenjoy nenda kapime tu na mpenzi wako mjue ukweli kabla

Ndomu zinakera sana, hata mimi sizipendi

Na michepuko hii kila kona,bado kupima hakuwahakikishii usalama.
Mkipima na wote mkawa waaminifu sawa ila kuusemea moyo wa mtu ni kazi!!!!!
 
Wee jifanye mhuni,wakati wenzako wamefanya uhuni mpaka kuvaa condom mlegezo
 
Hiyo ni dalili ya upungufu wa nguvu za kiume. Ni hali ambayo inawakumba sana wazee
 
Kijana usijaribu kuvua hiyo kondom ukadanganywa ni tamu utajuta maisha yako yote
 
Na michepuko hii kila kona,bado kupima hakuwahakikishii usalama.
Mkipima na wote mkawa waaminifu sawa ila kuusemea moyo wa mtu ni kazi!!!!!

Shida kubwa ni uaminifu tu

Hapo ndo sababu ya kusambaa ngoma

Sijui ni tamaa au nini?
 
Inaelekea wewe muzee wa kavu hakuna tatizo lolote zana ndio mpango mzima cha kufanya wewe ondoa akili ya kavu utazoea tu
 
Back
Top Bottom