A Avictown Member Joined Jan 16, 2018 Posts 98 Reaction score 56 Jan 26, 2018 #1 Wapendwa, Ni mwezi mmoja tu tangu nimewaamini tecno na kununua simu yao aina ya Camon CX. Naomba nielekezwe zilipo ofisi zao hapa Dar kwa ajili ya kufanya marekebisho ya sauti kwa maana simu haitoi sauti ya video wala audio.
Wapendwa, Ni mwezi mmoja tu tangu nimewaamini tecno na kununua simu yao aina ya Camon CX. Naomba nielekezwe zilipo ofisi zao hapa Dar kwa ajili ya kufanya marekebisho ya sauti kwa maana simu haitoi sauti ya video wala audio.
Mgodo visa JF-Expert Member Joined Nov 1, 2016 Posts 3,600 Reaction score 3,655 Jan 26, 2018 #2 Nenda kwenye Duka ulilo nunua Simu. Watakupa maelekezo yote.