Mwamba028 JF-Expert Member Joined Nov 15, 2013 Posts 4,648 Reaction score 3,807 Mar 17, 2014 #1 Habari zenu wana jamvi Naomba kuuliza kwenye uandikaji wa CV unaweza kueka experince kuhusu ujasiriamali uliowahi kufanya? Mchango wako ni muhimu
Habari zenu wana jamvi Naomba kuuliza kwenye uandikaji wa CV unaweza kueka experince kuhusu ujasiriamali uliowahi kufanya? Mchango wako ni muhimu
G Gjuma Member Joined Feb 10, 2014 Posts 21 Reaction score 14 Mar 17, 2014 #2 Mwamba028 said: Habari zenu wana jamvi Naomba kuuliza kwenye uandikaji wa CV unaweza kueka experince kuhusu ujasiriamali u5liowahi kufanya? Mchango wako ni muhimu Click to expand... why not?
Mwamba028 said: Habari zenu wana jamvi Naomba kuuliza kwenye uandikaji wa CV unaweza kueka experince kuhusu ujasiriamali u5liowahi kufanya? Mchango wako ni muhimu Click to expand... why not?
Fatara j Fatara Member Joined Oct 1, 2013 Posts 20 Reaction score 1 Mar 17, 2014 #3 Google au tafuta vitabu vya communication skills
M Mangungu JF-Expert Member Joined Apr 22, 2012 Posts 2,405 Reaction score 3,061 Mar 17, 2014 #4 Dumbukiza mkuu
M majosa jr Member Joined Feb 23, 2014 Posts 58 Reaction score 14 Mar 18, 2014 #5 jaman tuache uvivu watanzania ugoogle 2 inakuja tena american style. au tafuta kitbu cha comunication skills
jaman tuache uvivu watanzania ugoogle 2 inakuja tena american style. au tafuta kitbu cha comunication skills
georgemohammed Senior Member Joined Feb 4, 2014 Posts 188 Reaction score 44 Mar 18, 2014 #6 kama unajua mfundishe agoogle vp sio unadis tu
Mwamba028 JF-Expert Member Joined Nov 15, 2013 Posts 4,648 Reaction score 3,807 Mar 18, 2014 Thread starter #7 Uko google cdhan km ntapata majibu sahihi mana ujasiriamal nlopitia mm hauna vielelezo wala uthibitisho wowote,,na nishafanya michakato kibao ya utafutaji,,ss najiuliza nieeke au niiache
Uko google cdhan km ntapata majibu sahihi mana ujasiriamal nlopitia mm hauna vielelezo wala uthibitisho wowote,,na nishafanya michakato kibao ya utafutaji,,ss najiuliza nieeke au niiache