lumia21 JF-Expert Member Joined Nov 30, 2015 Posts 274 Reaction score 259 Apr 9, 2018 #1 Habari zenu wakuu.. Mie ni mkulima napatikana Kilosa Rudewa, najihusisha na kilimo cha Ngogwe ali maarufu kama Nyanyachungu.... Kama picha inavyo onyesha nimejarbu panda Bilinganya shamban kwangu na zimekubali vizuri, ila nimepanda kama tano tu za majarbio.. Sasa nafikiria kulima Bilinganya seriously. Hivyo basi wadau wote wenye chochote kuhusu kilimo cha Bilinganya watupie mawazo yao Hasa ningependa jua ni msimu gan mzuri wa kulima hili zao kwa soko la dar maana ndio soko nalo lilenga ! ~Lumia
Habari zenu wakuu.. Mie ni mkulima napatikana Kilosa Rudewa, najihusisha na kilimo cha Ngogwe ali maarufu kama Nyanyachungu.... Kama picha inavyo onyesha nimejarbu panda Bilinganya shamban kwangu na zimekubali vizuri, ila nimepanda kama tano tu za majarbio.. Sasa nafikiria kulima Bilinganya seriously. Hivyo basi wadau wote wenye chochote kuhusu kilimo cha Bilinganya watupie mawazo yao Hasa ningependa jua ni msimu gan mzuri wa kulima hili zao kwa soko la dar maana ndio soko nalo lilenga ! ~Lumia