Wakuu habari
Sikufanikiwa kumaliza degree yangu pale IFM, niliishia mwaka wa pili, kutokana na sababu fulani,fulani..
Ila wamesema, nitapewa cheti, as a Higher Diploma student, kama nitahitaji degree, nirudi tena chuo kwa mwaka mmoja..
Sasa, swali, kupitia hicho cha Higher Diploma, naweza kukitumia kuombea kazi?