je amewahi kutumia dawa za kupanga uzazi, mwambie akapige utra sound kama ana uvimbe wowote, na pia ana umri kiasi gani tuwasiliane inboxSalam kwa wote jamvini,
Tafadharini sana wakuu nimeanzisha Uzi japo nipate mawili matatu juu hedhi . Tatizo ni hedhi kwa muda mrefu,
Rafiki yangu[best friend] ana tatizo la kupata hedhi kwa muda mrefu, hii hali imetunyima amani Sana ila kulingana na maarifa ya jamvini nadhani ntapata mwanga juu yA hilo nani ntamsaidia best yangu,
Best aliingia kwa siku zake lakini alichelewa kama siku tatu au nne jinsi alivyokuwa akitegemea, alipoingia baada ya siku mbili, ya tatu akatoka vizur lakini cha ajabu siku saba badae akaingia tena, aliponishikirisha wanzoni alidai huwa muda Fulani huwa inamtokea lakini damu huwa kidogo sana hata pads hatumii, alafu huwa mambo yana kama Sawa cha ajabu sasa ni wiki ya pili anaelekea ya tatu, hajatoka hedhi imeendelea pasipo kukoma, na si kidogo tena balia melazimika kutumia pads.
Msaada wanajamvi,
Pole sana kwake ...sio jambo la kawaida kutokea kwa hiyo kitu na ikitokea vipo baadhi ya visababishiSalam kwa wote jamvini,
Tafadharini sana wakuu nimeanzisha Uzi japo nipate mawili matatu juu hedhi . Tatizo ni hedhi kwa muda mrefu,
Rafiki yangu[best friend] ana tatizo la kupata hedhi kwa muda mrefu, hii hali imetunyima amani Sana ila kulingana na maarifa ya jamvini nadhani ntapata mwanga juu yA hilo nani ntamsaidia best yangu,
Best aliingia kwa siku zake lakini alichelewa kama siku tatu au nne jinsi alivyokuwa akitegemea, alipoingia baada ya siku mbili, ya tatu akatoka vizur lakini cha ajabu siku saba badae akaingia tena, aliponishikirisha wanzoni alidai huwa muda Fulani huwa inamtokea lakini damu huwa kidogo sana hata pads hatumii, alafu huwa mambo yana kama Sawa cha ajabu sasa ni wiki ya pili anaelekea ya tatu, hajatoka hedhi imeendelea pasipo kukoma, na si kidogo tena balia melazimika kutumia pads.
Msaada wanajamvi,
Salam kwa wote jamvini,

huenda ikawa ni sababu ya njia za uzazi wa mpango hasa sindano za majira., kama anatumia, basi aende clinic akaombe kubadilisha njia, atumie nyingine.Salam kwa wote jamvini,
Tafadharini sana wakuu nimeanzisha Uzi japo nipate mawili matatu juu hedhi . Tatizo ni hedhi kwa muda mrefu,
Rafiki yangu[best friend] ana tatizo la kupata hedhi kwa muda mrefu, hii hali imetunyima amani Sana ila kulingana na maarifa ya jamvini nadhani ntapata mwanga juu yA hilo nani ntamsaidia best yangu,
Best aliingia kwa siku zake lakini alichelewa kama siku tatu au nne jinsi alivyokuwa akitegemea, alipoingia baada ya siku mbili, ya tatu akatoka vizur lakini cha ajabu siku saba badae akaingia tena, aliponishikirisha wanzoni alidai huwa muda Fulani huwa inamtokea lakini damu huwa kidogo sana hata pads hatumii, alafu huwa mambo yana kama Sawa cha ajabu sasa ni wiki ya pili anaelekea ya tatu, hajatoka hedhi imeendelea pasipo kukoma, na si kidogo tena balia melazimika kutumia pads.
Msaada wanajamvi,
Ushauri waliotoa wenzangu ikiwa mwenzi wako bado hajapona nitafute mimi nipate kumtibia apate kupona. Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe.fewgoodman@hotmail.com What's App na Viber +905344508169 Au Ni add Kwa Facebook tumia jina hili mzizimkavu. Au boonyeza hapa.Mzizi MkavuSalam kwa wote jamvini,