Msaada juu ya course ya medical attendant

Pure Scientific

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2015
Posts
716
Reaction score
644
Wakuu naombeni kuifahamu juu ya course ya medical attendant na pia vyuo vipi wanafundisha pia kazi yake kubwa hospitalini ni nini?gharama yake je?
 
Ni mwaka mmoja pia ina vyuo vingi tu na kazi zao hasa ni usafi mfano kudeki wodi za wagonjwa,kufua mashuka, usafi wa vifaa vya oparesheni na kuzalisha ila wakiwa kwenye ngazi ya zahanati na vituo vya afya wakati mwingine hufanyi kazi za manes.
 
Mkuu na community health?
 
Ni mwaka mmoja pia ina vyuo vingi tu na kazi zao hasa ni usafi mfano kudeki wodi za wagonjwa,kufua mashuka, usafi wa vifaa vya oparesheni na kuzalisha ila wakiwa kwenye ngazi ya zahanati na vituo vya afya wakati mwingine hufanyi kazi za manes.
Asante mkuu.....kwa ushauri huo
 
Ni mwaka mmoja pia ina vyuo vingi tu na kazi zao hasa ni usafi mfano kudeki wodi za wagonjwa,kufua mashuka, usafi wa vifaa vya oparesheni na kuzalisha ila wakiwa kwenye ngazi ya zahanati na vituo vya afya wakati mwingine hufanyi kazi za manes.
Hawafanyi kazi kama manesi kweli....
 
Community health professionals watafanya kazi kama wahudumu wa afya ngazi ya jamii mfano kutembelea kaya zenye waathirika wa Ukimwi na kuwapa ushawri, kutoa elimu ya afya namna ya kujikinga na maradhi mfano kuchemsha maji,kutumia kondomu n.k kugawa dawa za minyoo na chanjo vijijini pia kazi nyingine watapangiwa na Mganga mfawidhi kituo husika. They are dealing with primary prevention of diseases na hii ni kozi mpya.
 
Kwaiyo mkuu kati ya iyo na medical attendant ipi ni nzuri kwa sasa
 
Ni mwaka mmoja pia ina vyuo vingi tu na kazi zao hasa ni usafi mfano kudeki wodi za wagonjwa,kufua mashuka, usafi wa vifaa vya oparesheni na kuzalisha ila wakiwa kwenye ngazi ya zahanati na vituo vya afya wakati mwingine hufanyi kazi za manes.
Kweli una wajua vizuri sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…