Msaada juu ya course ya IT na ICT

Msaada juu ya course ya IT na ICT

Nehemia Isaya

Member
Joined
Aug 6, 2021
Posts
8
Reaction score
4
Jamani naomba ushauri nataka kusoma ngazi ya certificate course ipi nzuri Kati ya IT na ICT na nivyuo gani vizuri kwa course hizo.
 
Jamani naomba ushauri nataka kusoma ngazi ya certificate course ipi nzuri Kati ya IT na ICT na nivyuo gani vizuri kwa course hizo
UDSM pale COICT Kijitonyama kuna certificate na diploma ya computer science, ukiachana na uzuri wa fani utapata faida ya kuwa karibu na communities mbali mbali za Technology
kama unataka ICT nadhani Open university can be the best option
 
Back
Top Bottom